filling reseach gaps voluntarily-BAHI DODOMA

filling reseach gaps voluntarily-BAHI  DODOMA

It was during when we have conducted a research known as STATE OF YOUTH RESEARCH 2012/2013 under restless development with my fellow research assistance Jacob Daniel,Denis Nchimb and Agnes mnyamil at BAHI district in Dodoma youth they were not ready to participate at focuse group discussion because they cant trust any kind of research this is due to the fact that there is no any feedback and changes since they participated in different research.
Through our convincing power , support from chair person of BAH village and accademic master of Bahi sec school(mohamed lawa) we succed to conduct FGD where by the major problem were
un employment , lack of education about civic participation internal conflict with local government concerning minerals.Because it is not our task to promise any thing concerning different finding in the field,i ask them a simple question (if some one intend to support your in order to bring changes through providing education about entrepreneurship are your ready ),the answer was yes.
After the end of research into other targeted region i decide to back again at Bahi district and sharing different ideas with those youth and then taking attendance in Oder to request training materials from International labour organization(ILO) . Last week we finished our training which take 5day with a full package of materials(books)
>transformation
>generate your business idea
>start your business
from ILO and it was free in charge where by the total number of participant were 30 most of them were out of school youth including 5 teachers.
After the end of training they were very happy because acquired new skills where by they want to start their own business and creating a chance to other youth.they appreciating such research(STATE OF YOUTH RESEARCH 2012/2013) while they are weighting other opportunities they believe that they can and they want to open the door of opportunity through hard working

by
Lawrence Ambokile
Ex vol at Restless development TZ
ILO entrepreneurship trainer

.

Posted in Uncategorized | Tagged | 2 Comments

Mrejesho toka kwa viongozi wa maeneo tuliyofanyia utafiti

Miongoni mwa mambo ambayo ni ya msing katika utafiti huu wa kuifahamu hali ya maendeleo ya vijana ni pamoja na kujua wadau mbalimbali wa vijana na masuala ya vijana wanavyoifahamu hali hiyo na kwa namna gani wangewazungumzia vijana.

Hapa inapelekea sisi watafiti katika utafiti huu kuweza kuwashirikisha viongozi wa serikali katika ngazi ya maeneo husika tuliyofanyia utafiti mara baada tu ya kumaliza kukusanya taarifa zinazowahusu vijana wa maeneo hayo. Hii imetupa fursa ya kuweza kuwaeleza walau kwa kifupi viongozi wa maeneo hayo husika ni kwa namna gani vijana wanazungumzia hali yao ya maendeleo hasa kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita yaani miezi kumi na miwili katika mwaka 2012.

Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na kuweza kujua vijana wanajishughulisha vipi katika shughuli za kiuchumi kujiingizia kipato na kwamba kama ipo mifumo sahihi ya kuwawezesha kufanya hivyo. Jambo jingine ni nmna wanavyoshiriki katikaq masuala ya uongozi au yale yanayoibukia katika jamii.

Changamoto

Miongoni mwa changamoto zinazotukumba ni pamoja na muda uliotengwa kwa ajili ya kufanya utafiti katika maeneo husika kuwa finyu kiasi cha kukosekana muda wa kutosha kuweza kuwapa mrejesho viongozi husika. Tunalazimika kuondoka pale siku ya mwisho kukusanya data inapoishia.

Vilevile viongozi wengi katika wilaya husika hawako tayari kutupa muda wa kuzungumza nao juu ya tulichokigundua miongoni mwa vijana huku wengine hawapatikani kabisa hata kuweza kuweka miadi na kuzungumza nao.

Tumelazimika mara nyingi kutumia simu kuweza kuwaeleza walau kwa kifupi juu ya hali ya maendeleo ya vijana kutokana na changamoto hiyo ya muda. Wengi wanaahidi kuendelea kutoa ushirikiano na kwamba wangependa kuiona ripoti itakayoeleza vijana wa maeneo mengine wanasemaje juu ya hali zao ili waweze kupanga mikakatti itakayowagusa na kuiboresha hali ya vijana.

“Nashukuru kama mmefanikisha kuonana na vijana wa hapa, naamini wamewaeleza kinagaubaga juu ya hali yao, ningependa kuwaomba mtusaidie pia kuwapa elimu na kutuletea pia wale waliyoyasea wenzao…” anasema Bi Anne Julius, Afisa Mtendaji Old Sumbawanga

Posted in Uncategorized | 3 Comments

Despite our success, there were challenges!

Some of the Challenges we faced during conducting FGDs were like presence of children around the areas we chose to hold the discussions.

But through the understanding of the importance of the study to the youth themselves plus the  creativity, influence and researching skills which the Researchers had it was possible to proceed. This photo was taken at Old Sumbawanga ward, Sumbawanga.

Posted in Uncategorized | Leave a comment

Enjoy the Swahili poem about the State of Youth in Tanzania (Haya ndo maendeleo ya vijana)

Ninamshukuru jalali, kunijalia uhai,

Na hii bora hali, shetani kwangu hakai

Bada ya hii kauli, na ninyi nawasabai

Haya ndo maendeleo, ya vijana Tanzania

Baada ya hizo salamu, sasa zafuata pongezi

Restilesi ndo muhimu, hali kuiweka wazi

N a washirika muhimu, walofanikisha kazi

Haya ndo maendeleo, ya vijana Tanzania

Katika mikoa saba, kaziyo imefanyika

Hakikuachwa kibaba, haliyo imefichuka

Tumezimaliza raba, mitaani kuzunguka

Haya ndo maendeleo, ya vijana Tanzania

Kuhusu wao uchumi,  vijana wamefunguka

Bila kuminya ulimi, baadhi wachakarika

Kilimo hawakilimi, malipo si uhakika

Haya ndo maendeleo, ya vijana Tanzania

Juu ya wao uzazi, haki zao hawajui

Hawashiriki uzazi, manesi ni maadui

Mipango haiku wazi, hatima hawaijui

Haya ndo maendeleo, ya vijana Tanzania

Ushiriki mitaani, ni wachache wako mbele

Mifumo serikalini, waipigia kelele

Hawawekwi shirikani, kupewa kipaumbele

Haya ndo maendeleo, ya vijana Tanzania

Lipo hili babalao, la kuitunga katiba

Namna ushiriki wao, wanahitaji tiba

Washangaa tume yao, maoni inavyoiba

Haya ndo maendeleo, ya vijana Tanzania

Kwa uchaguzi ujao, wengi wataka shiriki

Kwa huo wao upeo, wadai ni yao haki

Mawio hata machweo, mafisadi hawataki

Haya ndo maendeleo, ya vijana Tanzania

Yapo mengi ya muhimu, ripoti itaeleza

Wapo watu wa muhimu, mwishoni nitaeleza

Keni na Fransi walimu, hadi kazi twamaliza

Haya ndo maendeleo, ya vijana Tanzania

Osca Kefa na Devidi, wao wamo miongoni

Agi Kikoti wazidi, Denisi yu ulingoni

Lau Jaco si wakaidi, Efurahimu makini

Haya ndo maendeleo, ya vijana Tanzania

Kalamu naweka chini, msifikiri frimasoni

Vijanangu komaeni, katu musione soni

Ukataeni uhuni, maendeleo usoni

Haya ndo maendeleo, ya vijana Tanzania

Posted in Uncategorized | Leave a comment

Dhana ya Freemasons ilivyoteka maendeleo ya vijana

Nilikuwa nikidhai dhana ya ufreemasons ni dhana iliyojengeka mijini tu, kumbe ndivyo sivyo! Vijana walio wengi wa maeneo yote niliyozunguka katika kutafiti juu ya hali ya vijana katika mikoa minne wana mtazamo unaofanana katika kulizungumzia suala la Freemasons.

“Hawa ndio walewale tu ma Freemasoni, wanakuja kutuhesabu ili wakamilishe mipango yao ya kututeka na wapate fedha” anasema kijana mmoja hapa Sumbawanga wakati tulipokuwa tukiwafuata ili kutaka kuwahoji.

Huyu ni mmojawapo tu kati ya vijana walio wengi katika maeneo mengi tuliyopita kuwahoji katika lengo letu zuri lililokuwa likilenga kujua hali ya maendeleo ya vijana Tanzania, utafiti unaofanywa na RESTLESS DEVELOPMENT Tanzania. Vijana wanadhani maendeleo hayawezi kupatikana bila ya mtu kuwa freemasons.

Kwa mtazamo wangu nadhani hili wazo linadidimiza fikra za vijana katika kuwaza maendeleo na kujishughulisha na shughuli za kuwaingizia kipato. Wamebaki kufikiri kila anayefanikiwa ni mfuasi wa Freemasons.

This is really dangerous especially when it touches the minds of youth, the productive group in the community. There is a high need to invest on education so as to change this negative mindset of youth about development.

Posted in Uncategorized | 1 Comment

LAWRENCE WITH MAMA GODY AT MBAMBA BAY BEFORE DQ AT

LAWRENCE WITH MAMA GODY  AT MBAMBA BAY BEFORE DQ AT

it was before direct questioner with mama Gody the owner of MBUYUNI CAFE at MBAMBA BAY,she is employed at her busness of selling some food more than ten year up to now and she geting more profit trough such business.she wondering for those youth migrating to other neighbour countries like MALAWI AND BOTSWANA for finding a job while at MBAMBA BAY there is more job opportunity with low cost,eg that fish she bought 7000/= tsh and she expecting to get a profit three times .she berive that youth should stop bremming and starting work hard in order to overcome the problem of un employment,she advising the Government to educate more about family planning because it is difficult for youth who had more than 18 year to live without a kidy,this issue is caused by hertage of their culture like JANDO AND UNJAGO

Posted in Uncategorized | 2 Comments

IT WAS DURING FGD AT MBAMBA BAY RUVUMA,conducted by team B

IT WAS DURING FGD AT MBAMBA BAY RUVUMA,conducted  by team B

MBMBA BAY is a word within new distric known as NYASA where by the main economic activities taking place is fishing activities and agriculture,but most of young people involving in fishing activities.Trough involving in the fishing activities their life does not improved because of lack of market for their product(fish) associated poor transiport and communication.Youth they wonder for the new distric sorounding by lake Nyasa and having bay known as MBAMBA BAY,goverment fairule to create tourisim opportunity trough improving transport and communication system.During the FGDmost of them they berieve that through improving tourisim sector it is a good way for overcoming the problem of un employment for youth and bad behaviour in the comunity.in the issue of ammendiment of new constitution they like to contribute their aidea but but after contributing their aider they are in need more education about the current constitution in case of self employment boys they employed in driving motorcycle and girls are selling petrory because there is a scursity of it in their community

Posted in Uncategorized | 2 Comments

MR Jacob DANIEL after FGD at MSONGOLA SEC SCHOOL

MR Jacob DANIEL after FGD at MSONGOLA SEC SCHOOL

more request from student after the FGD,they need more reseach to be conducted in order to know the the challenge of youth and their impact in the community

Posted in Uncategorized | Leave a comment

100_3329.jpg

Posted in Uncategorized | Leave a comment

FGD AT MSONGOLA SEC SCHOOL,ILALA DAR ES SAALAM

FGD AT MSONGOLA SEC SCHOOL,ILALA DAR ES SAALAM

MR DENIS NCHIMBI,it was conducting during a FGD at Msongola secschool where by student they feel free to contribute their aidea on isues of good governance and they insisting government should be runned by law

Posted in Uncategorized | Leave a comment